×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Mshukiwa Kizimbani

Peter Karanja afisa wa polisi wa utawala na mshukiwa wa mauaji ya watu kumi na mmoja katika eneo la Siakago amefikishwa mbele ya hakimu mkuu mkaazi wa Embu Florence Wachira, aliyeamurisha upande wa mashtaka kufanya uchunguzi zaidi ifikapo siku ya ijumaa, atakapofunguliwa mashtaka afisa huyo.Wakati huo huo waziri wa usalama George Saitoti ametaja mauaji hayo kama yaliyotokana na afisa huyo kutatizika kiakili, baada ya kujua kuwa alikuwa ameambukizwa maradhi hatari. huyu hapa Damaris Kitavi na taarifa zaidi.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Mshukiwa Kizimbani