×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Ibada Ya Wafu

Baada ya kunyimwa kibali cha kuandaa ibada ya wafu katika bustani ya Uhuru hapo jana, leo viongozi wa makanisa walifanikisha ibada hiyo katika kanisa la All Saints Cathedral hapa jijini. Ni ibada iliyojawa na majonzi na huzuni kutoka kwa waathiriwa wa mkasa huo na jamaa za wale sita waliofariki. Waliohutubu wakisisitizia haja ya wakenya kuungana wakati huu wa taharuki kabla ya kura ya maamuzi. Mwanahabari wetu Carol Nderi alihudhuria ibada hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Ibada Ya Wafu