The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Mshahara wa wafanyakazi wa mashamba ya maua utaongezwa kwa asilimia ishirini na tano. Hatua hii inajiri baada ya muungano wa wakulima kutia saini makubaliano na Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi, COTU. Makubaliano hayo ni ya mwaka 2015-2016. Zaidi ya wakulima elfu sitini watanufaika na mpango huo.
Katibu Mkuu wa COTU, Franzis Atwoli amesema sekta ya maua imekuwa ikikabiliwa na changamoto chungu nzima, kama vile ada ya juu ya umeme, kodi ya juu na gharama kubwa ya kusafirisha bidhaa nje ya nchi. Wafanyakazi watapokea malimbikiza ya malipo ya kuanzia mwaka uliopita.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.