×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

WAFARIKI KATIKA AJALI NAIROBI 10/04/09

Watu watatu walifariki  baada magari matano kugongana katika barabara ya Kiambu. Ajali hiyo iliyohusisha matatu moja na magari manne ya kibinafsi ilifanyika baada ya matatu kugongana na gari moja la kibinafsi lililokuwa likikwepa msongamano wa magari. Afisa mkuu wa trafiki eneo la Pangani, Nairobi alisema majeruhi wa ajali hiyo walikimbizwa hospitalini huku waliofariki wakipelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha City.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in