Somalia yaongeza mashambulizi dhidi ya Al-Shabaab

Somalia yaongeza mashambulizi dhidi ya Al-Shabaab
Jeshi la Kitaifa la Somalia (SNAF) limeanzisha operesheni mpya katika eneo la Lower Shabelle, kusini mwa Somalia, ikilenga wanamgambo wa Al-Shabaab.
.

RELATED NEWS