Hatimaye Charles II mwenye umri wa miaka 74, ametawazwa kuwa Mfalme wa Uingereza. Shughuli ya kumtawaza mfalme huyo wa Uingereza imefanyika huku utawala wa kifalme nchini humo ukikabiliwa na upinzani.
Mfalme Charles wa tatu akichukua utawala kutoka kwa mamake Malkia Elizabeth wa, aliyefariki dunia Septemba mwaka jana baada ya kutawala kwa takriban miaka sabini.