×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu wawili waliouwa mwandishi Robbin Gikonyo mwaka wa 2015 wafungwa maisha

29th June, 2021

Watu wawili walioshtakiwa kwa kosa la kumuibia na kisha kumuua mhandisi robbin george gikonyo mwaka 2015 kaunti ya nyeri wamehukumiwa kifungo cha maisha jela na mahakama moja mjini nyeri. Watu hao wawili paul kinuthia mwangi na james kingori kararu wameshutumiwa kwa kumuua gikonyo ambaye alikuwa mhandisi katika wizara ya kawi.

 

.
RELATED VIDEOS