Gideon Moi amewahimiza viongozi kumpa nafasi rais Uhuru kukamilisha muhula wake
6th March, 2021
Seneta wa kaunti ya Baringo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha KANU Gideon Moi amewahimiza viongozi kumpa nafasi rais Uhuru Kenyatta kukamilisha muhula wake wa pili uongozini