x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Siasa za Nairobi: Wanasiasa wa ODM wasema Anne Kananu akiwa gavana, wapewe nafasi ya naibu wake

16, Jan 2021

siku moja tu baada ya anne kananu kuapishwa kama naibu gavana wa nairobi tayari wanasiasa wa odm wanasema akiwa gavana, wapewe nafasi ya naibu wake. matukio haya yakitokea wakati mmojawapo wa viongozi wa bunge la kaunti ya nairobi akidokeza kuwa huenda kananu akafanywa gavana hata jumatatu wiki ijayo. nacho chama cha thirdway alliance kinasema matukio ya nairobi yanalenga kunyakua mgao wa mabilioni ya fedha jijini

Feedback