×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta Moi ameongoza mkutano wa wanasiasa kupigia debe BBI katika kisiwa cha faza kaunti ya lamu

16th January, 2021

kiongozi wa kanu gideon moi ameongoza mkutano wa wanasiasa wengine kupigia debe bbi katika kisiwa cha faza kaunti ya lamu alipowahimiza wenyeji kuunga mkono serikali ya rais uhuru kenyatta katika azma hiyo. aliwaambia wakazi kuwa bbi ndio njia ya pekee kuhakikisha kuwa wakenya wote wanafaidi na maendeleo kutoka kwa serikali. viongozi wengine waliohudhuria hafla hiyo pia walitangaza kuwa mgombea wao wa urais ni gideon moi.

.
RELATED VIDEOS