x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kinara wa ODM Raila Odinga amesisitiza kuwa hakuna kurudi nyuma kwa suala la kura ya maoni

16, Jan 2021

kwa mara nyingine kinara wa odm raila odinga amesisitiza kuwa hakuna kurudi nyuma kwa suala la kura ya maoni na kuwa hakuna atakayesimamisha azimio la kuleta mabadiliko ya kikatiba nchini. odinga aliyefanya kikao na kina mama wakiongozwa na viongozi kina mama siku moja baada ya kukutana na vijana wa hapa jijini nairobi amesema kuwa wana mipango kupigia debe bbi hadi mashinani. msimamo huu umeshikilia na viongozi mbali mbali wa kisiasa kama anavyoarifu sasa daniel kariuki

Feedback