.
8th November, 2020
Rais mteule wa Marekani Joe Biden na makamu wake Kamala Harris wataapishwa kuchukua hatamu ya uongozi mnamo tarehe 20 mwezi Januari. Taifa la Marekani linapoelekea kukaribisha uongozi mpya, gumzo limekuwa kumhusu makamu wa Rais mteule Kamala Harris. Harris mwenye asili ya kihindi na kiafrika ni mwanamke wa kwanza kushikilia wadhifa huo katika historia ya taifa hilo. Je, Kamala Harris ni nani na safari yake ya siasa imekuwa vipi?