6th November, 2020
Tofauti za ripoti ya bbi zinazidi kuibuka baada ya katibu mkuu wa chama cha jubilee raphael tuju na viongozi wengine Kuashiria kuwa huenda mabadiliko zaidi kwenye ripoti hiyo yakaafikiwa. Hii ni baada ya mwanakamati wa kamati ya Upatanisho meja mstaafu john seii kusema kuwa kuna mambo Yaliyopitishwa kwenye mlango wa nyuma na kulazimika kutia Sahihi ripoti hiyo pasi kuisoma. Nicholas wambua anaarifu Kwa kina