x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Rais Uhuru ainunulia Shabana gari, ni timu iliyovuma miaka ya nyuma ya KPL

21, Oct 2020

Siku moja tu baada ya Shabana kuilaza Afc Leopards bao moja bila jibu na kutwaa taji la mashujaa, Rais Uhuru Kenyatta ameikabithi timu hiyo basi lenye uwezo wa kubeba abiria 62. Akizungmza kwenye hafla ya kupeana basi hilo, Rais Kenyatta ameitaka Shabana kukaza buti, kuimarisha viwango vyao ili kurejea ligi kuu ya kitaifa KPL.  

Feedback