×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

George Magoha asema walimu wa bodi bila nambari ya TSC hawatalipwa na serikali

1st October, 2020

Serikali imesema walimu walioajiriwa na bodi simamizi za shule za umma ila hawana namba za usajili kutoka tume ya huduma za walimu, TSC, hawatalipwa. Waziri wa elimu profesa george magoha na katibu wa wizara, belio kipsang, wameiambia kamati ya elimu kwenye bunge la taifa kwamba sheria hairuhusu mwalimu ambaye hajasajiliwa na TSC kufunza kwenye shule za kenya.

 

.
RELATED VIDEOS