.
1st October, 2020
Naibu rais William Ruto ameongoza mkutano katika makao makuu ya chama cha jubilee eneo la pangani.ingawa ruto hakuwahutubia Wanahabari, wabunge mithika linturi na Alice Wahome wamekanusha madai kwamba kikao hicho kilikuwa cha mapinduzi chamani, na kuelezea kwamba wamemtaka ruto kama naibu kiongozi wa jubilee awaelezee ni lini uchaguzi wa viongozi chamani utafanywa na pia, nafasi yao kama wabunge wa chama kinachoongoza ni ipi baada ya odm kuonekana kuingizwa serikalini.