×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maiti Afukuliwa: Mtoto msichana wa umri wa miaka 3 auawa na kuzikwa msituni na wazazi wake

22nd September, 2020

Kulikuwa na taharuki katika msitu wa cengalo kaunti ya Uasin gishu baada ya mwili wa msichana Victoria Chelagat mwenye umri wa miaka mitatu anayedaiwa kuuliwa na wazazi wake kisha kuzikwa kwenye msitu huo kufukuliwa. Wazazi wake Timothy Lihanda na Charity Jeruto wanadaiwa kushirikiana kumuua na kisha kumzika.mwili wake ambao Ulipatikana ukiwa umefunikwa na kuingizwa kwenye mkoba Kisha kuzikwa futi chache ardhini.elvis kosgei na maelezo zaidi

 
.
RELATED VIDEOS