×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Tuhuma za ubakaji: Msichana wa miaka 7 adaiwa kubakwa na kisa hicho kuripotiwa Wajir

18th September, 2020

Msichana mwenye umri wa miaka saba anaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya wajir baada ya kudaiwa kunajisiwa na mwanaume wa miaka thelathini katika kijiji cha handaki kaunti ya wajir.familia hiyo inalilia haki kwa mwana wao huku wazee wakipanga njama ya kutatua kesi hiyo kupitia mfumo wa maslaha kama anavyotuarifu mwanahabari wetu ahmed hussein. 

.
RELATED VIDEOS