x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

UVAMIZI KEMSA: Makachero wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC wafanya msako KEMSA

09, Sep 2020

Makachero wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC wamefanya msako wa ghafla mapema jumatano kwenye afisi za halmashauri ya kusambaza dawa nchini KEMSA. Kemsa imedhibitisha kutembelewa na EACC wakikusanya stakabadhi zikiwemo zile za kompyuta kwenye mchakato wa uchunguzi. 

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback