×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uchaguzi mkuu Tanzania: Tanzania yajiandaa kwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa Oktoba mwaka huu

3rd June, 2020

Tanzania ipo katika maandalizi ya mwanzo kabisa ya uchaguzi  mkuu unaotarajiwa mwezi oktoba mwaka huu wa 2020, ingawa baadhi ya vyama vya upinzani nchini humo, vinakosoa maandalizi hayo ya mwanzo kwa madai kwamba  ushirikishwaji  wao ni hafifu, hasa katika wakati huu ambao tume ya taifa ya uchaguzi nchini humo inafanya mabadiliko ya kanuni mbalimbali za uchaguzi. Rajabu hassan, anaarifu kwa kina kutoka jijini dar es salaam....

.
RELATED VIDEOS