.
1st June, 2020
Aliyekuwa rais wa tatu wa jamhuri ya Demokrasi ya Congo Laurent Kabila aliongoza nchi hiyo kwa miaka minne na alikumbwa na changamoto nyingi mno za uongozi. Katika makala ya Mirathi ya siasa safari hii tunaangazia siasa za Laurent Kabila hadi alivyouawa.