×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru Kenyatta aashiria uwezekano wa kufanywa kura ya maamuzi kabla ya uchaguzi mkuu wa 2022

1st June, 2020

Rais Uhuru Kenyatta ameashiria uwezekano wa kufanywa kura ya maamuzi kabla ya uchaguzi mkuu wa 2022. Kwenye hotuba yake kwa taifa wakati wa maadhimsho ya sikukuu ya Madaraka, Rais alisema katiba iliyoko sasa inastahili kufanyiwa marekebisho ili kuendeleza demokrasia na kujumuisha jamii zote katika uongozi wa serikali ili kuzima ghasia za baada ya uchaguzi.

.
RELATED VIDEOS