×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kumtafuta aliyepotea : Bwana mmoja wenye umri wa miaka hamsini apotea Mshomoroni

1st June, 2020

Huku taifa likisherehekea sikukuu ya madaraka familia moja katika mtaa wa Mshomoroni eneobunge la Kisauni inasononeka baada ya mpendwa wao mwenye umri wa miaka hamsini kupotea kwa siku tano sasa baada ya kutishiwa maisha. Mawia omar hajji ambaye amekuwa akimfanyia kazi mwakilishi wa kike wa kaunti ya lamu ruweida mohammed ambaye pia alitishiwa kwa kujihusisha na vita dhidi ya mihadarati.

.
RELATED VIDEOS