×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mafuriko yawatatiza wenyeji wa Lamu baada ya mito kuvunja kingo kutoka kaunti jirani ya Tana River

1st June, 2020

Mafuriko yamewatatiza wenyeji wa kaunti ya Lamu baada ya mito kuvunja kingo kutoka kaunti jirani ya Tana River. Wenyeji sasa wameachwa bila makao kwani nyumba zao zimezama kwenye gharika. Kwa sasa wanategemea msaada kutoka serikali kuu pamoja na shirika la msalaba mwekundu ili kujimudu kimaisha.

.
RELATED VIDEOS