×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Simba wasumbufu :Wenyeji wa Kajiado wawasaka simba kwa madai ya kuwala mifugo wao

1st June, 2020

Jamaa mmoja katika kijiji cha Oldonyo Kajiado ya Kati amenusurika kifo baada ya kushambuliwa na simba ambao wanahangaisha kijiji hicho. Wafugaji wanakadiria hasara kubwa kufuatia uvamizi wa simba hao ambapo zaidi ya ngombe 40, mbuzi na punda wameuawa huku mifugo wengine wakiachwa na majeraha. Wafugaji wanadai kwamba uvamizi huo unaendelezwa na simba watatu na hii leo waliungana ili kuwatafuta simba hao. Wafugaji hao wamekashifu shirika la huduma kwa wanyama pori nchini kwa kuzembea kwenye kazi yao wakisema hii si mara ya kwanza simba kuvamia mifugo katika eneo hilo na hakuna hatua inayochukuliwa. 

.
RELATED VIDEOS