Wenyeji wa Mukuru Kayaba wapata msaada wa tangi la kuoshea mikono
28th May, 2020
Kampuni ya Standard Media Group kwa ushirikiano na kampuni ya Davis and Shirtliff na Access Afya leo hii wametoa msaada wa tangi la kuoshea mikono kwa wakaazi wa eneo la Mukuru Kayaba