×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamume mmoja Kakamega aharibiwa vibaya sehemu zake za siri na daktari

28th May, 2020

Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka hamsini analilia haki baada ya kufika katika zahanati ya Kharanda eneo la Navakholo ili kufanyiwa upasuaji wa kukapanga uza kwa wanaume ila daktari aliyemfanyia shughuli hiyo akiifanya vibaya na kuharibu vibaya sehemu zake za siri.

 

Mgonjwa huyo ambaye sasa amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Kakamega ameshindwa hata kulipia ada yake ya hospitali huku daktari aliyehusika akiingia mitini.

.
RELATED VIDEOS