×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi walaumiwa kwa kumpiga jamaa mmoja na kumjeruhi vibaya katika eneo la Kahawa West

28th May, 2020

Polisi wa kituo cha Kahawa West hapa jijini Nairobi wanalaumiwa kwa kumpiga jamaa mmoja na kumjeruhi vibaya wakati wa kafyu. Jamaa huyo kwa jina Samuel Maina anadai alikumbana na polisi hao wakati wa kuwafukuza watu kwenda manyumbani, akapigwa nusura afariki.

 
.
RELATED VIDEOS