×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maseneta wateule wa jubilee waomba msamaha baada ya kukosa kuhudhuria mkutano wa Ikulu

27th May, 2020

Maseneta wateule millicent omanga na victor prenge wameomba msamaha mbele ya kamati ya nidhamu ya chama cha jubilee kwa kutohudhuria mkutano wa wabunge wiki mbili zilizopita katika ikulu ya nairobi.  Wawili hao wamesema kwamba wao ni wafuasi halisi wa chama cha jubilee na mkono kwa dhati sera na mipango ya chama. wawili hao wamesema hawakupokea ujumbe wa mualiko ikulu kutokana na changamoto kadha za teknolojia kupitia simu za rukono.  

 

.
RELATED VIDEOS