.
27th May, 2020
Takriban watu 285 wamefariki nchini kutokana na mafuriko. Waziri wa ugatuzi eugene wamalwa amesema kaunti 33 Zimeathirika na mvua hizo zinazotarajiwa kuendelea Kunyesha hadi mwezi juni. Haya yanajiri huku baadhi ya Magavana wakikosoa serikali kuu kwa kutokuwa makini Kukomesha athari za mafuriko za kila mwaka