.
27th May, 2020
Amri ya kutotoka au kuingia katika kaunti tatu za pwani imelazimu wenye magari ya umma haswa matatu kukarabati gari zao na kuanza kusafirisha mizigo badala ya abiria. Hata hivyo hatua hii bado ni mzigo kwa maisha yao jinsi wanavyomweleza mwanahabari wetu tobias chanji.