×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msambao wa Korona: Visa Vipya 123 vya Korona vyaripotiwa leo nchini, Nairobi imedhibitisha Visa 85

27th May, 2020

Wakenya walipokuwa wakitumai kwamba kafyu na changamoto za korona zimeanza kufifia, idadi mpya ya maambukizi kwa siku moja imefika watu 123. Hii ni kumaanisha sasa kenya ina jumla ya visa 1,471. Haya yakitokea wakati watu wengine watatu wakifariki naye waziri mutahi kagwe akikiri huenda pia wizara yake ina maafisa wakora.

 

.
RELATED VIDEOS