×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Roysambu wagadhabishwa na hatua ya serikali ya kung'oa vibanda vya kupuliza dawa

25th May, 2020

Wakazi wa eneo la Roysambu wamelalamika vikali baada ya serikali kung'oa vibanda vya kupuliza dawa ili kuangamiza viini '' yaani fumigation booths. Wakazi hao wameomba serikali kurejesha chemba hizo kwani zimekuwa za umuhimu mkubwa kwao katika kujisafisha haswaa wakatii huu wa ugonjwa wa korona.

.
RELATED VIDEOS