Polisi watatu Kamukunji wajipata taabani kwa madai ya kusaidia mshukiwa kutoroka korokoroni
21, May 2020
Polisi watatu kutoka kituo cha polisi cha Kamukunji wamefikishwa mahakamani kwa madai ya kusaidia mshukiwa wa utekaji nyara kutoroka korokoroni. Mshukiwa, raia wa uganda alitoweka katika hali ya kutatanisha wiki moja iliyopita.