x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wito watolewa kwa serikali kuziangazia familia zilizopoteza riziki kwenye kipindi cha Korona

21, May 2020

Serikali imetakiwa kuimarisha mpango wa kugawa chakula kwa familia zilizopoteza ajira kutokana na janga la Korona. Akizingumza alipoongoza shughuli ya kutoa msaada wa chakula na vifaa vingine vya matumizi kwa familia masikini mtaani Kayole, Askofu Geoffrey Migwi, wa House of Hope Church, alisema familia nyingi zinahitaji kusaidiwa kwenye majira haya magumu ya homa ya Korona. Aidha aliwarai wanasiasa kuonesha mfano mwema kwa kuwajali wasiojiweza badala ya kupiga siasa tu.

Feedback