Ndoa yaingia doa: Mume amuua mkewe Uasin Gishu na kujiua baadae
20, May 2020
Hali ya simanzi imetanda katika eneo la shirika?kuinet kaunti ya uasin gishu baada ya jamaa mmoja kumuua mkewe kisha kujiua. Inasemekana marehemu amekuwa na mzozo wa nyumbani na mkewe kwa siku nyingi huku jamaa akitishia kumtoa uhai mkewe kwa madai kwamba amekuwa akibugia pombe haramu.