.
20th May, 2020
Naibu spika wa bunge la seneti prof. Kithure kindiki atajua
hatma yake siku ya ijumaa baada ya spika wa bunge hilo ken
lusaka kuitisha kikao maalum kujadili hoja ya kumbandua
madarakani. Kindiki ni miongoni mwa wanaolengwa kutokana
na ufuasi wake kwa naibu rais william ruto. Geff kirui na
maelezo zaidi