.
20th May, 2020
Ofisi ya msajili mkuu wa sheria house imesitisha shughul zote za ndoa hadi itakapotoa mwelekeo mpya. Hii ni kufuatia idadi kubwa ya wanandoa kutafuta huduma hiyo licha ya muongozo mkali uliowekwa kama wa kuwa na harusi bila umati ili kuzua virusi vya korona kusambaa