×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mapengo yanayosababisha kutokuwa na usawa katika sekta ya elimu |TEKNOLOJIA HEWA

14th May, 2020

Je mwanao anaendelea na masomo wakati huu ambapo shule zimefungwa kutokana na janga la Corona? Huenda jibu lako ni ndiyo kwani kuna shule zinazoendeleza masomo mitandaoni, ila ukweli uliopo ni kwamba maelfu ya watoto hawana uwezo wa kuendelea na masomo kwa kukosa vipakatalishi, mtandao au hata televisheni na redio.

Hali inayoregesha kichwani uzinduzi wa vipakatalishi shuleni kupitia serikali ya Jubilee, na kuibua swali je, mradi wa teknolojia shuleni uliogharimu mtozwa ushuru mabilioni ya pesa ulikwama au bado upo? Na je unatumiwa vipi kuwafaa wanafunzi kipindi hiki? Je kuna faida zozote ambazo zimepatikana kupitia mradi huo au ilikuwa teknolojia hewa?

Tupate makala yalioandaliwa na Zubeida Koome yanayoibua maswali kuhusu hali ya elimu nchini na mapengo yanayostahili kuzibwa ili kuleta ubora na usawa kwa wote.wakati uo huo waziri wa elimu tayari amezindua kamati maalum itakayotoa ushauri kuhusu harakati za kufungua shule na mambo muhimu ya kutilia maanani wakathuu .

.
RELATED VIDEOS