x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

"Hatubabaishwi wala kutikiswa na vitisho" akina mama wa Tangatanga wasema

14, May 2020

Hatubabaishwi wala kutikiswa na vitisho ndo ujumbe wa kundi la Inua Mama la mrengo wa Tanga Tanga katika chama cha Jubilee, ujumbe waliomsukumia kiongozi wa chama rais Uhuru Kenyatta na msemaji wake Raphael Tuju.  Mbunge wa Kandara  Alice Wahome pia amekejeli tishio kwamba, chama tawala kitaanzisha mikakati ya kuwapokonya viti wabunge waliochagulia na kusema kwamba hiyo ni ndoto ya saa sita mchana.

Feedback