×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi mjini Busia wamenasa bunduki aina ya AK-47 inayokisiwa kuibwa nchini Uganda

9th March, 2020

        Polisi mjini busia kwa ushirikiano na wenzao wa nchi ya jirani ya uganda wamefanikiwa kunasa bunduki aina ya ak 47 na risasi 25 iliyokuwa imefichwa kwenye paa ya nyumba moja ya kukodi katika mtaa wa bondeni mjini Busia. Kamanda wa polisi kaunti ya Busia John Nyoike amesema bunduki hiyo inakisiwa kuibwa kutoka kwa polisi wa uganda miezi kadhaa iliyopita kabla ya kuanza kutumiwa na mshukiwa akiwa na wahalifu wengine kutekeleza visa vya uhalifu na mauaji katika maeneo ya Busia Kenya na Uganda.

.
RELATED VIDEOS