×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gire alisambaza picha za ndege iliyokuwa ikitoka Uchina kwenye Virusi vya Corona vilianzia

29th February, 2020

Mfanyakazi Wa Kenya Airways Anayetuhumiwa Kwa Kupuliza Kipenga Kuhusu Ujio Wa Ndege Kutoka Uchina Jumatano Amesema Maisha Yake Yamo Hatarini Baada Yake Kupokea Simu Za Kumtishia. Sasa Wakili Wake Ameahidi Kufika Mahakamani Kupinga Kusimamishwa Kazi Kwake. Wakati Huo, Taasisi Ya Kusimamia Idara Za Masuala Ya Wafanyakazi, IHRM Ikisisitiza Kuwa Ina Haki Ya Kujua Iwapo Mwanachama Wake Alikosea Au La Kumsimamisha Kazi.

.
RELATED VIDEOS