.
24th February, 2020
Makachero wanaochunguza kifo cha Kipyego Kenei wamerejea eneo la mkasa kujaribu kutanzua kisa cha kifo cha afisa huyo aliyedaiwa kuwa na taarifa muhimu dhidi ya sakata ghushi ya bilioni 39. Shughuli ya leo nyumbani kwa Kenei ilikuwa kufanya jaribio la kupiga risasi ili kufanya ukaguzi na shimo la risasi lililopatikana nyumbani humo wakati wa kisa.