.
22nd February, 2020
Maelfu Ya Wanariadha Na Raia Huko Kaunti Ya Meru Wameshiriki Kwa Mbio Za Mlima Kenya, Ambazo Ni Za Kwanza Kuwahi Kufanyika Mlimani Almaarufu Mountain Run. Hela Zitakazochangishwa Kutokana Na Mbio Hizo Zitatumika Kujenga Kituo Cha Saratani Eneo Hilo.