×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Echesa aachiliwa na mahakama kwa dhamana ya shilingi milioni moja kutokana na sakata ya magendo

17th February, 2020

 Makachero kutoka idara ya upelelezi wa jinai wameendesha uchunguzi katika afisi za naibu  rais william Ruto hapa jijini nairobi na kupata vitu maalum ikiwemo picha za cctv ambavyo vitafanyiwa uchunguzi kufuatia sakata ya utapeli inayoendelea. Wakati haya yakijiri, aliyekuwa waziri wa michezo Rashidi na wenzake watatu wamewachiliwa na mahakama kwa dhamana ya milioni moja pesa taslimu baada ya kuhusishwa na sakata hii iliyohusu ulaghai wa bilioni 39

.
RELATED VIDEOS