×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wasichana waliojifungua Kakamega wapata nafasi ya kijunga na elimu ya sekondari

17th February, 2020

Zaidi ya wanafunzi 300 wa kike waliojifungua kabla ya kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu katika kaunti ya kakamega wamepokea msaada wa karo, mavazi, maziwa ya watoto wao pamoja na vyakula. Wanafunzi hao wanasoma katika shule mbalimbali katika kaunti hiyo. Watoto wao wachanga pia walizawadiwa bidhaa mbali mbali za kukimu mahitaji yao katika hafla iliyoongozwa na mwakilishi wa kike elsy muhanda. Wanafunzi hao walielezea furaha yao kuwa jamii haijawatenga na msaada wanaopata umewapa motisha ya kuendelea na masomo

.
RELATED VIDEOS