.
17th February, 2020
Waziri wa elimu Prof george magoha amekosoa mtindo wa kujenga vyuo vikuu kila pembe ya nchi, akidai kuwa hatua hio imevishusha viwango vya elimu ya juu. Profesa Magoha alizungumza hapa nairobi mapema leo kwenye mkutano na wadau wa elimu kujadili mabadiliko muhimu katika sekta ya elimu ya juu.