Wamalwa: Wakenya wamekubali kuunga BBI, tulienda Bomas sote tukaikumbatia

KTN News Feb 16,2020


View More on KTN Leo

Baadhi Ya Viongozi Kutoka Eneo La Pwani Sasa Wanataka Mapendekezo Yaliyotolewa Na Wakaazi Wa Eneo Hilo Kujumuishwa Katika Ripoti Ya Jopo La Upatanishi BBI. Viongozi Hao Kutoka Kaunti Ya Tana River Wamesema Kuwa Wanaunga Mkono Kikamilifu Mchakato Wa Marekebisho Ya Katiba Kupitia Jopo Hilo. Walikuwa Wakizungumza Wakati Wa Mazishi Ya Mzee Yona Godhana Ambaye Ni Baba Wa Gavana Wa Kaunti Ya Tana River Dhadho Godana.