Mtu mmoja ameaga dunia kufuatia ajali iliyotokea Lang'ata Road

KTN News Feb 16,2020


View More on KTN Leo

Mtu Mmoja Amefariki Mapema Leo Katika Ajali Mbaya Ya Barabarani, Katika Eneo La Lan’gata Hapa Jijini Nairobi Baadaya Gari Lake Kupoteza Mwelekeo Na Kubingiria Mara Kadhaa. Kwingineko Abiria 17 Wameponeachupuchupu Katika Ajali Nyingine Ya Barabarani Eneo La Muranga.