Polisi katika eneo la Bondo wachunguza Kifo cha Profesa Gilbert Ogutu

KTN News Feb 16,2020


View More on KTN Leo

Polisi Katika Eneo La Bondo Wanachunguza Kifo Cha Profesa Gilbert Ogutu Ambaye Alikuwa Mhadhiri Wa Maswala Ya Historia Katika Chuo Kikuu Cha Nairobi. Mhadhiri Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 78 Alipatikana Akiwa Amekufa Nyumbani Kwake Katika Kile Kinachokisiwa Kuwa Ni Kujitia Kitanzi. Mwili Wake Uligunduliwa Ukiwa Umepiga Magoti Kando Ya Kitanda Chake Huku Kanga Ikiwa Shingoni.